Kampuni ya Vidacom Tanzania imetangaza zawadi za washindi wa shindano la kumsaka mrembo lililopangwa kufanyika Septemba 11, ndani ya ukumbi Mlimani City.Mshindi wa 1 atapata gari aina Hyundai i10 lenye thamani ya ya milioni 12 na kitita cha sh. milioni 10, Mshindi wa pili atapata shilingi mil 6 .2, wa tatu atapata milioni 4 na mshindi wa nne atazawadiwa shilingi milioni 3 na watatu atapata shilingi milioni 2.4 wakati mshindi wa sita hadi wa 10 kila mmoja atapata shilingi mioni 1.4 watakaobaki watapata kifuta jasho cha sh 700,000 kila mmoja.


1 Comments

  1. Halafu baada ya mashindano zianze kashfa tofauti miss kafanya hivi, miss kafanya vile

    ReplyDelete

Post a Comment

Previous Post Next Post