MICHUANO ya Chalenji imeendelea leo katika dimba la Taifa, ambako Kenya iliichapa Ethiopia mabao 2-0, huku  Sudan na Malawi zilitoka sare ya bila kufungana.
Michuano hiyo inaendelea kesho ambapo Zanzibar itavaana na Somalia huku Burundi itaumana na Uganda.

Post a Comment

Previous Post Next Post