TIMU ya Taifa ya Bara 'Kili Stars' leo imeshinda mechi yake ya kwanza kwenye michuano ya Chalenji baada ya kuigagadua Djibout kwa mabao 3-0, mechi iliyopigwa kwenye dimba la Taifa,jijini Dar es Salaam. 

Post a Comment

Previous Post Next Post