WEKUNDU wa Msimbazi, Simba wanatarajiwa kufanya sherehe maaluim ya kuadhimisha miaka 75 tangu kuanbzishwa kwa klabu hiyo.Moja ya shamrashamra za maadhimisho hayo ni mechi ya kimataifa ya kirafiki baina ya wekundu hao na timu moja kjutoka nje ya nchi, ikiwemo Asante Kotoko
Pia kutakuwa na kisomo maalum kwa ajili ya kuwarehemu wadau wote wa timu hiyo waliotangulia mbele ya haki.
Post a Comment