Mshambuliaji wa Manchester City,  Mario Balotelli akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu England kati ya timu yake na Stoke City, kwenye Uwanja wa Etihad, Manchester City ilishinda 3-0, mabao ya  Aguero dakika ya 28 na 53 na Johnson dakika ya 35.

Post a Comment

Previous Post Next Post