ICT Manager wa CFAO MOTORS Bw. Altaz Premji akimpongeza aliyekuwa Miss Tanzania (2008) Nasreen Karim wakati alipozindua Duka la bidhaa za Kiutamaduni zinazotengenezwa kwa Mikono ambapo bidhaa hizo zinatengezwa na wanawake wa Kimasai lilipo barabara ya Kaunda Drive Oysterbay jijini Dar es Salaam.



Mrembo Nasreen Karim akitoa maelezo kuhusiana na Bidhaa zinazopatikana kwenye Duka ENJIPAI ambazo zinatengenezwa kwa Mikono ya Wanawake wa Tanzania Wajasiriamali. 
Baadhi ya Wageni waalikwa wakila na kunywa wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Duka hilo. 
Mrembo Nasreen Karim katika picha ya pamoja na baadhi ya Kinamama wa Kimasai wanaotengeneza bidhaa hizo. 
Baadhi ya Bidhaa zikiwa kwenye Show Room ya ENJIPAI.
 











Post a Comment

Previous Post Next Post