
Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa benki ya NMB wakiogelea katika bwawa lililopo katika ufukwe wa South Beach ikiwa ni katika Family Day ya benki hiyo

Mnamkumbuka Nina?ndo huyo hapo kulia katika pozi na shosti wake kwenye Family Day ya NMB

Ilikuwa ni burudani kwa kwenda mbele siku hiyo

Aron Nyanda, mchezaji wa zamani wa Yanga ambaye sasa aanpiga mzigo katika benki ya NMB naye alikuwemo katika Family Day yao, kulia ni Awadh

MIchezo ya kila aina ilikuwepo, yote ni katika kuadhimisha Family Day kwa wafanyakazi


Hapo Vipi leta mambo?

Ilikuwa ni full kujiachia, hapa watoto wakicheza kwa raha zao


Hapo sasa kila kitu ilikuwa ni burdaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan

Ras Pampidou hakuwa nyuma katika kuwapa raha wafanyakazi wa NMB na familia zao

Vitoto vizuri kama hivi navyo vilikuwepo kuungana na familia nyingine
Post a Comment