Home MAFURIKO DAR YAATHIRI MPAKA UWANJA WA KAUNDA Anonymous December 21, 2011 1 Comments Facebook Twitter MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha sehembambali nchini ikiwemo mkoa wa Dar es Salaam zimeanza kuleta athari pamoja na maafa ambapo moja ya athari iliyoonekana ni ile ya eneo la Jangwani ambapo pia kuna uwanja wa klabu hya soka ya Yanga wa Kaunda Facebook Twitter
Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kumbe uwanje wenu uko bondeni.
ReplyDeletePost a Comment