MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha sehembambali nchini ikiwemo mkoa wa Dar es Salaam zimeanza kuleta athari pamoja na maafa ambapo moja ya athari iliyoonekana ni ile ya eneo la Jangwani ambapo pia kuna uwanja wa klabu hya soka ya Yanga wa Kaunda

1 Comments

  1. Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kumbe uwanje wenu uko bondeni.

    ReplyDelete

Post a Comment

Previous Post Next Post